Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche(CHADEMA) amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kistu na kwasasa amewekwa mahabusu ndogo huku akisubiri kusomewa mashtaka yanayomkabili
> Kuna tetesi kuwa anaweza kuunganishwa kwenye kesi inayowakabili viongozi wengine 7 wa CHADEMA akiwemo Freeman Mbowe(Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa)
Mbunge Heche alikamatwa tarehe tatu na kunyimwa dhamana.

No comments:
Post a Comment