![]() |
| The Late King Zilla |
tukio la KIFO chake cha ghafla baada ya kuugua kwa muda mfupi.....
HAPO chini nimekuwekea
hiyo aliyo SHARE na MASHABIKI wake ambapo mmoja wao alikuwa akimsisitiza juu ya ujio wake akitamani uwe kama jinsi alivyotoka KIMUZIKI kipindi anaanza SAFARI yake ya MUZIKI....
SHABIKI:"Tunamtaka Zilla wa zamani",
GODZILLA:"Hata nikifa leo, jina langu litabaki hapa.".
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PEMA PEPONI...MBELE YETU....NYUMA YAKE!!!!!


No comments:
Post a Comment