NI KATIKA KIKAO KWA AJILI YA KUFANIKISHA MAZISHI YA MSANII ALBERT MANGWEA KIKAO HICHO KILICHOKUTANISHA WASANII WAKILA NYANJA,ILA WALIOTAWALA KWA WINGI NI WASANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA,KIKAO HICHO KILIFANYIKA JANA JIONI KWENYE VIWANJA VYA LEADERS CLUB-KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM,KWENYE KIKAO HICHO WALIOCHAGULIWA KUUNDA KAMATI YA KUSIMAMIA MAZISHI NA MSIBA NI PAMOJA NA JUMA MCHOPANGA{JAY MOE},P FUNK,NOORAH,MEZ B,LADY JAY DEE,PROFF JAY,ADAM JUMA,MCHIZI MOX & ROMMIE JONES.
.
No comments:
Post a Comment