Friday, 31 May 2013

DULLAH WA EATV APATA BARAKA YA MTOTO WA KIKE.

MTANGAZAJI WA KITUO CHA TV/RADIO CHA EATV ABDALLAH AMBUA,AMBAYE KWA SIKU ZA KARIBUNI AMEANZA KUJIINGIZA KATIKA SANAA YA FILAMU{BONGO MOVIE} SIKU YA JUZI ALIBAHATIKA KUPATA BARAKA YA MTOTO WA KIKE,KATIKA PICHA AMBAYO DULLAH AMEIPOST KUPITIA ACC YAKE YA FACEBOOK,AMEONYESHA MANENO YA BUSARA AKIMSHUKURU MUNGU BAADA YA KUMBARIKI KUPATA KABINTI AKO KAZURI,PICHANI CHINI NI PICHA ALIYOITUMA ABDALLAH AMBUA JUU YA UJIO WA MALKIA WAKE HUYO.

No comments: