UJUMBE TOKA KWA THE SUPER DUPPA PRODUCER P FUNK MAJANI JUU YA KIFO CHA MSANII ALBERT MANGWAIR UJUMBE ULIOAMBATANA NA BITI KALI KWA KITUO CHA RADIO NA TV CHA JIJINI DAR ES SALAAM "CLOUDS MEDIA KUTOPIGA NYIMBO ZOZOTE AMBAZO NGWAIR AMEZIREKODI KWENYE STUDIO ZA BONGO RECORDS ,USOME HAPO CHINI UJUMBE HUO WA PFUNK.
P FUNK MAJANI.
HISTORIA FUPI YA MSANII ALBERT MANGWAIR,YEYE NI MZALIWA WA MBEYA,ALIZALIWA 16-NOV-1982,MKOANI MBEYA ILA ASILI YAKE NI RUVUMA-KABILA{MNGONI} PIA NGWAIR NI MTOTO WA MWISHO KATIKA FAMILIA YAKE,KWA UPANDE WA BABA NI MTOTO WA KUMI{10} NA KWA UPANDE WA MAMA NI MTOTO WA SITA{6},NGWAIR ALIHAMIA MKOANI MOROGORO,NA NDIKO ALIKOANZA ELIMU YAKE YA MSINGI KATIKA SHULE YA MSINGI BUNGO PRIMARY SCHOOL,UHAMISHO ALIOPEWA MZAZI WAKE WA KIUME{BABA} KUELEKEA DODOMA ULIFANYA NGWAIR AHAMIE SHULE YA MSINGI MLIMWA -DODOMA AMBAKO NDIKO ALIKOMALIZA ELIMU YAKE YA MSINGI NA HATIMAYE SHULE YA SECONDARY MAZENGO DODOMA NA BAADAE CHUO CHA UFUNDI MAZENGO DODOMA,MSIBA WA MAREHEMU ALBERT MANGWAIR KWA DAR ES SALAAM UKO MBEZI BEACH-MAENEO YA GOIG,NA TARATIBU ZA MAZISHI IKIWEMO KULETWA KWA MWILI WA MAREHEMU TOKA NCHINI AFRICA YA KUSINI ZINAENDELEA. |
No comments:
Post a Comment