 |
| Padri Octaviani Msimbe akiongoza ibada ya kumbukumbi ya kifo cha Albart Mangweha nyumbani kwao Kihonda 'Mazimbu Road' Morogoro |
FAMILIA ya msanii nyota wa muziki wa Bongofleva marehemu Albert Keneth
Mangweha aliyefariki ghafla nchini Afrika Kusini May 28 mwaka jana, Siku ya jana,
may 28 familia hiyo iliifanya ibada nje ya viwanja vya nyumba yao
iliyopo Kihonda 'Mazimbu Road' mkoani Morogoro,ikiwa ni Ibada ya kumbukumbu ya mwaka
mmoja toka kifo cha mpendwa wao huyo aliyekuwa na nyota ya kupendwa na
wengi.
Katika lbada hiyo iliyoongozwa na Paroko wa kanisa la Mtakatifu Monica
Kihonda Padri Octaviani Msimbe ilihudhuliwa na wasanii pamoja na
mchumba wa marehmu Mangweha Michelle Louise.
 |
|
mchumba wa marehmu Mangweha Michelle Louise. |
Kwa mujibu wa msemaji wa familia hiyo mama mzazi wa msanii huyo
Bi,Denisia Mangweha, baada ya kukamilika kwa lbada hiyo jana jioni katika
ukumbi wa Samaki Samaki Kihonda kulifanyika shughuri nyingine ya
kumkumbuka msanii huyo.
 |
| Mama Mangweha akipokea sakrameti takatifu |
 |
| Mama Mangwea akitoa shukrani kwa watu walioshiriki lbada hiyo. |
" Pale Samaki samaki kutakuwa na shughuri mbili, ya kwanza itaanza saa 12
jioni hadi saa mbili usiku na mafariki wa marehemu watafanya shughuri
yao kuanza saa 2 usiku hadi majogoo hivyo tunawakaribisha wote mliofika
kwenye ibada hii na mungu awabariki kwa kunikimbilia toka kifo cha
mwanangu,mapaka hii leo sina cha kuwalipa mungu atawalipa asanteni
sana"alisema mama huyo mwenye uso wa upole.
 |
| Msanii wa
bongofleva Mgaza Pembe' M-2 THE- P ambaye alikuwa na marehemu Mangweha
Afrika Kusini akipiga picha za matukio ya lbada hiyo, |
No comments:
Post a Comment