Wednesday, 29 May 2013

MSANII WA KUNDI LA OUGHTCAST ANDRE AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI.

MSANII MKONGWE WA HIPHOP "ANDRE" TOKA KUNDI LA OUGHTCAST KUNDI LILILOWAHI KUFANYA VIZURI MIAKA YA TISINI HASA KWA KIBAO CHAO KIKALI "MISS JACKSON"AMEFIWA NA MAMA YAKE MZAZI,IKUMBUKWE MSANII ANDRE ALIKUWA AKISHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA J/TATU YA WIKI HII NCHINI MAREKANI.
PICHA NYINGINE YA MSANII ANDRE AKIWA NYUMBANI KWAKE.
ANDRE NA MAREHEMU MAMA YAKE.

No comments: