Wednesday, 29 May 2013

YALIYOJIRI KWENYE MAZISHI YA MAMA YAKE DUDE LEO.

MWILI WA MAREHEMU MAMA YAKE MSANII WA FILAMU NCHINI "DUDE"BI MWADODO RAMADHAN.
BAADHI YA WAOMBOLEZAJI WAKIWA NYUMBANI KWA KULWA KIKUMBA"DUDE" KIGOGO JIJINI LEO.
BAADHI YA WASANII KAMA WANAVYOONEKANA PICHANI WALIJUMUIKA NA "DUDE" VYEMA KWENYE MAZISHI  YA MAMA YAKE JIJINI DAR ES SALAAM
KULWA KIKUMBA"DUDE" AKIONGEA NA SIMU.
MKALI WA HIPHOP-BONGO KALLA JEREMIAH NAYE ALISHIRIKI VYEMA MAZISHI YA MAMA DUDE{PICHANI MWENYE KOFIA}
MSANII ISSA MUSSA "CLAUDE-112" AKIONGEA JAMBO MSIBANI,PEMBENI YAKE NI MZEE CHILO.
  MWILI WA MAREHEMU UKITOLEWA NYUMBANI KWA MWANAWE KULWA KIKUMBA"DUDE"KIGOGO KUELEKEA MAKABURINI BUGURUNI MALAPA KWA MAZISHI.
WAOMBOLEZAJI JUMBANI KWA MSANII KULWA KIKUMBA "DUDE"

No comments: