Friday, 17 May 2013

NI MFANO WA KUIGWA KWA WASANII HASA WA EAST AFRICA.

"NAMELESS"AKIWA KATIKA MALEZI YA MTOTO WAKE "TUMISO"WAKATI AKIWA MDOGO.
"TUMISO"MTOTO WA WAHU NA NAMELESS ALIVYO KWA SASA.
NAMELESS AKICHEZA NA MTOTO WAKE,"TUMISSO".
'TUMISSO'.....
HII NI NDOA YA WASANII WAWILI MAARUFU NCHINI KENYA NA AFRICA MASHARIKI KWA UJUMLA,"NAMELESS" NA "WAHU",ANGALIA PICHA ZA MAISHA YAO WAKIWA NA MTOTO WAO.
WAHU AKIWA NA MTOTO WAKE"TUMISO",HUYU NDIYE ALIYEMUIMBA KWENYE SINGLE YAKE YA KWANZA "SWEET LOVE".

No comments: