Friday, 17 May 2013

SAKATA LA PENZI LA DIVA NA PREZZO-DIVA ADAI NDOA INANUKIA.

HATUA MOJA MBELE,JUU YA PENZI LA MTANGAZAJI WA RADIO CLOUDS YA JIJINI LOVENESS MALINZI"DIVA" NA MSANII MAARUFU NCHINI KENYA JACKSON MAKINI "PREZZO"LILILOFIKIA KUIBUKA KWA MWANADADA MWENGINE NCHINI KENYA,KUDAI KUWA YEYE NDIYE OFFICIAL LADY WA PREZZO,AKILIONGELEA HILO MWANADADA DIVA AMEFUNGUKA NA KUDAI KUWA ANACHOKIFANYA MWANADADA BOSS"LADY" WA NCHINI KENYA NI KUJIPOTEZEA MUDA,AKIDAI KUWA YEYE NA PREZZO WAKO VIZURI NA SOON WANAMPANGO WA KUTANGAZA NDOA ,"KWANZA NAMSHANGAA SANA HUYO DAME MIMI NAJULIKANA MPAKA KWAKINA PREZZO,NA KAMA UNATAKA UTHIBITISHO NA HILO,NGOJA NIMPIGIE WIFI YANGU"ALIONEKANA KUJINADI "DIVA"JUU YA UHALALI WAKE KWA "PREZZO"....MARA BAADA YA KUMPIGIA HUYO ALIYEMTAMBULISHA KAMA WIFI YAKE"ILISIKIKA SAUTI YA MDADA ALIYETAWALWA  NA MANENO YAKUMTIA MOYO "DIVA" KANA KWAMBA HAKUNA MWINGINE WAKUVURUGA MPANGO WA YEYE NA PREZZO KWA WAWILI HAO KUISHI PAMOJA.
MWANADADA BOSS"LADY" KUSHOTO RAIA WA KENYA NA LOVENESS MALINZI "DIVA",WANADADA WAWILI WALIO KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA KUWANIA PENZI LA MSANII "PREZZO"..

No comments: