Friday, 15 November 2013

HUDDAH MONROE ATUNDIKA PICHA ZA UTUPU MTANDAONI.

KATIKA HALI ILIYOWAACHA WENGI HOI KUTOKANA NA VITUKO VISIVYOISHA VYA MSHIRIKI WA BBA THE CHASE{KENYA}HUDDAH MONROE,HII NI BAADA YA KUTUNDIKA MTANDAONI PICHA ZAKE ALIZOPIGA AKIWA MTUPU.
HIZI HAPA NDIZO PICHA ZENYEWE ALIZOTUNDIKA HUDDAH MONROE MTANDAONI.
AWALI MWANADADA HUYU ALIKUWA AKITOKA NA MSANII MAHIRI NCHINI KENYA PREZZO,ILA KWA SASA WAWILI HAO NI PAKA NA CHUI,HII NI KUTOKANA NA JINSI AMBAVYO WOTE WAWILI HAWAJATULIA KWENYE MAHUSIANO.


No comments: