Friday, 17 May 2013

TID NAYE AJIENGUA SHOW YA MIAKA 13 YA MAISHA YA MUZIKI KWA "LADY JAY DEE"

MSANII MAHIRI KATIKA MIONDOKO YA BONGO FLAVA NCHINI,NA KIONGOZI WA "THE TOP BAND" YA JIJINI DAR ES SALAAM,KHALEED  MOHAMED a.k.a TID,AMETOA SABABU TATU ZA YEYE KUJITOA KWENYE SHOW YA KUTIMIZA MIAKA 13 ,KATIKA SAFARI YA MUZIKI KWA MWANADADA "LADY JAY DEE" a.k.a ANACONDA,TID AKIFUNGUKA KUPITIA UKURASA WAKE WA FACEBOOK HAYA NDIYO ALIYOYAANDIKA KAMA SABABU ZAKE ZAKUTOSHIRIKI SHOW HIYO,EMBU ZISOME HAPO:-
MSANII LADY JAY DEE,AMEKUWA NA MALUMBANO NA UONGOZI WA RADIO CLOUDS FM YA JIJINI DAR ES SALAAM,KWA YEYE KUITUPIA LAWAMA KWA KUONGOZA KAMPENI ZA KUMSHUSHA KISANII,JAMBO LINALOHUSISHWA NA KUJITOA KWA BAADHI YA WASANII WALIOHORODHESHWA KUWEPO KWENYE SHOW YA KUTIMIZA MIAKA KUMI NA MITATU YA SAFARI YAKE YA MUZIKI TOKA ALIPOANZA,KWA KILE KINACHODAIWA KUWA NI KUOGOPA KWA WASANII HAO KUTOPEWA USHIRIKIANO NA RADIO HIYO KATIKA KAZI ZAO.

No comments: