CHAZ BABA{MWENYE MIWANI} & MARTIN SOSPETER ..
KUNDI LA MUZIKI WA NDANSI LA MASHUJAA MUSICA LIMETOA SHUKRANI ZAO KWA WADAU WA MUZIKI TANZANIA,VYOMBO VYA HABARI NA MASHABIKI WAO KWA UJUMLA KWA KUWAWEZESHA KUNYAKUA TUZO TANO KATIKA HAFLA YA KUWATUNUKIA,WASANII NA MAKUNDI YA SANAA HII YA MUZIKI TANZANIA{KILI MUSIC AWARDS}WAKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI LEO,KWENYE HOTEL YA ZONGHUA GARDEN ILIYOPO MIKOCHENI JIJINI DAR ES SALAAM,MENEJA WA BENDI BW,MARTIN SOSPETER NA PREZIDAA WA BENDI CHAZ BABA,WAMEKIRI KUWA BILA MCHANGO WA HAO WOTE KUTHAMINI KAZI YAO,WASINGEFANIKIWA KUTWAA TUZO HIZO TANO KWA MPIGO,HIVYO UONGOZI MZIMA WA MASHUJAA MUSICA UNATOA SHUKRANI KWA KILA MMOJA ALIYEFANIKISHA HILO.
No comments:
Post a Comment