Monday, 3 June 2013

KUFURU YA SHABIKI WA OMMY DIMPOZ NDANI YA REDDS MISS TABORA.

HAWA NDIYO WASHINDI WATATU WA REDDS MISS TABORA-2013,KATIKATI NI MSHINDI WA KWANZA ANASTAZIA DONALD{19}ANASOMA THEOFIL KISANJI UNNIVERSITY,KUSHOTO NI MSHINDI WA PILI SABRINA JUMA{AFRICAN UTALII}NA KULIA NI MSHINDI WA TATU CORNECIA COSSA{21}.
OMMY DIMPOZ AKIWA JUKWAANI "REDDS MISS TABORA-2013.

NI KITUKO KILICHOPITILIZA KAMA UONAVYO PICHANI NI MDADA ALIYEVAMIA JUKWAANI KIPINDI MSANII OMMY DIMPOZ AKILISHAMBULIA JUKWAA,KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA KUMTAFUTA REDDS MISS TABORA,MDADA AMBAYE JINA LAKE HALIKUWEZA KUPATIKANA KWA URAHISI,ALIKUWA AMEVAA KINGUO KIFUPI WAKATI NDANI HAKUWA AMEVAA KITU,KAMA PICHA INAVYOONEKANA HAPO.


No comments: