Monday, 3 June 2013

FLORA MVUNGI TAYARI KWA KUINGIA NDOANI RASMI.

MSANII WA FILAMU NCHINI FLORA MVUNGI JANA ALIFANYIWA KITCHEN PARTY,SHUGHULI AMBAYO HUFANYIWA WADADA IKIWA NA DHUMUNI LA KUWAFUNDA ILI WAWE TAYARI KUINGIA KWENYE NDOA RASMI,FLORA MVUNGI ANATARAJIA KUFUNGA NDOA RASMI NA MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA H BABA,PICHANI BIBIE FLORA MVUNGI AKIWA NA MPAMBE WAKE BIBIE SALAMA JABU{NISHA}.
MSHEREHESHAJI WA SHEREHE HIYO BI SARAH MVUNGI AKICHEZA MUZIKI NA BIBI YAKE FLORA MVUNGI WAKATI WA KITCHEN PARTY HIYO JANA.
BIBIE FLORA MVUNGI AKIWA KWENYE GARI KABLA HAJAINGIA KWENYE SHEREHE HIYO YA KITCHEN PARTY JANA.
BIBI YAKE FLORA MVUNGI AKIMVISHA KHANGA MJUKUU WAKE.
WASANII WA KIKE WA FILAMU NAO WALIJITOKEZA KUMPA SAPOTI FLORA MVUNGI KWA ATUA ALIYOFIKIA.

No comments: