Monday, 3 June 2013

SAMAKI WA AJABU AVULIWA UNGUJA LEO

KATIKA HALI YA KUSHANGAZA SAMAKI WA AJABU AMEVULIWA LEO UNGUJA SEHEMU INAYOJULIKANA KWA JINA LA MCHANGAMLE-KIZIMKAZI{UNGUJA} WATU WENGI WAMEKUWA WAKIMIMINIKA KUSHUHUDIA KIUMBE HICHO KILICHOKUWA NA TASWIRA TATA KAMA KINAVYOONEKANA PICHANI.

No comments: