Tuesday, 27 August 2013

BRANCH YA "SAMAKI SAMAKI PUB" MBEZI BEACH YATEKETEA KWA MOTO.

BRANCH MOJAWAPO YA "CULTURAL EXECUTIVE PUBS" ZA SAMAKI SAMAKI ILIYOPO MBEZI BEACH{BAGAMOYO ROAD}MAENEO YA INTERCHICK DAR ES SALAAM,IMETEKETEA KWA MOTO MAJIRA YA SAA TANO KUELEKEA SAA SITA MCHANA HUU,TAHARIFA ZA AWALI ZINADAI KUWA CHANZO CHA MOTO HUO NI HITILAFU YA UMEME,ILIYOSABABISHWA NA GREDA LILILOKUWA LIKIFANYA ZOEZI LA BOMOA BOMOA ILI KUPISHA UJENZI WA BARABARA YA BAGAMOYO ROAD INAYOENDELEA KUFANYIWA MATENGENEZO,HASARA ILIYOTOKANA NA MOTO HUO BADO HAIJAJULIKANA,JAPO KITASWIRA HAKUNA KINACHOONEKANA KUNUSURIKA NA MOTO HUO.


No comments: