Wednesday, 28 August 2013

MADEE NA KASSIM WAWAPATANISHA CHIDI BEENZ NA NEY WA MITEGO.

KATIKA HALI ILIYOONEKANA KAMA UTANI HIVI NA HATIMAYE KULETA MAFANIKIO NI PLANI YA MSANII MADEE KUFANIKIWA KUWAPATANISHA WASANII WAWILI WALIOKUWA KAMA PANYA NA PAKA,HASWA KWA KILE KILICHOONEKANA MTINDO WA MSANII NEY WA MITEGO KUMUIMBA MARA KWA MARA MSANII CHIDI BEENZ KWENYE NYIMBO ZAKE,KATIKA ZOEZI HILI MADEE ALISHIRIKIANA NA MSANII MWINGINE KASSIM MAARUFU KAMA TAJIRI WA MAHABA,
IKUMBUKWE NEY WAMITEGO ALIMUIMBA VIBAYA MSANII CHIDI BEENZ KATIKA NYIMBO YAKE "NASEMA NAO",AKIMKOSOA JUU YA UAMUZI WAKE WAKUTOBOA PUA,
PIA KABLA YAKUKUTANISHWA HUKU KWA CHIDI BEENZ NA NEY WAMITEGO NA WASANII WENZAO MADEE & KASSIM,NA HATIMAYE DHUMUNI LAO KUFANIKIWA HATIMAYE WAKALI HAWA WAWILI KUPATANA,JAMBO LILILOWAHI KUFANYWA NA MSANII BAGHDAD KWA DIZAINI TOFAUTI KWAKUWAKUTANISHA WAKALI HAWA WAWILI KWENYE HIT YAKE MPYA NA INAYOSUMBUA HIVI SASA KWENYE GAME "WAAMBIE NIPO" BILA WAO WENYEWE KUJIJUA KUWA WAPO KWENYE NGOMA MOJA,KWA TRICK ILIYOTUMIKA KWA KUWAPA AIRTIME STUDIO KILA MMOJA KWA WAKATI WAKE KABLA NGOMA HIYO KUFANYIWA MIXING KWA KUCHANGANYA VIPANDE VYAO VYOTE NA HATIMAYE KUTOKA NGOMA HIYO,
MADEE AKIONGEA NA MILARD AYO WA CLOUDS FM, JINSI ALIVYOFANIKIWA KUWAPATANISHA WAKALI HAO CHIDI BEENZ NA NEY WAMITEGO,KWENYE TOUR YA FIESTA 2013"TWENZETU"-SINGIDA JUZI.


NB: HII HAPA VIDEO YAKE MADEE AKIELEZEA JINSI ILIVYOKUWA MPANGO WAKE,MPAKA KUFANIKIWA KUWAPATANISHA WENZAKE HAO "CHIDI BEENZ"CHUMA" NA NEY WA MITEGO. *VIDEO NYINGINE IKIMUONYESHA "NEY WA MITEGO"AKIWA BACKSTAGE FIESTA 2013-SINGIDA AKISHOW LOVE KWA SHOW YA CHIDI BEENZ{CHUMA} ALIYEKUWA ON STAGE KIPINDI HICHO,

No comments: