MCHEZA FILAMU NCHINI NIGERIA MWANADADA ENIOLA BADMUS JUZI ALITOA KALI BAADA YA KUAMUA KUVUNJA UKIMYA WA KUTOTOA JIBU LA SWALI LILILOKUWA LIKIJIRUDIA MARA KWA MARA KWA FANS WAKE WALIOKUWA WAKIMFANANISHA NA MSANII WA HIPHOP NCHINI MAREKANI RICK ROSS,KWA KUWEKA PICHA MBILI MBANANO ZILIZO WAONYESHA SURA KATI YAKE NA ROZAY,NA KUSISITIZA KUWA KUFANANA KWAKE NA ROZAY SI BURE KWANI NI UDHIHIRISHO KUWA WAWILI HAO NI NDUGU,JAMBO LILILOWAACHA NJIA PANDA ZAIDI FANS,KWAKUSHINDWA KUELEWA KUWA ILIKUWA NI JOKE AMA NI UKWELI.
No comments:
Post a Comment