Thursday, 8 August 2013

NIKKI MBISHI AWADHIHIRISHIA WAPENZI WA BONGO HIP HOP KUISHA KWA BIFU YAKE NA WEUSI.

MWEUSI NIKKI WA II AMBAYE LEO NI SIKU YAKE YA KUZALIWA AMBAPO NIKKI MBISHI AMEMPONGEZA KUSHEREHEKEA BIRTHDAY YAKE AKIWA SALAMA KABISA.
MKALI TOKA TAMADUN MUZIK NIKKI MBISHI{MWENYE KOFIA}AKIWA NA PROD AMBROSE DUNGA{FULANA MISTARI} NA MKALI WA HIPHOP KENYA COLLO.
HII NI BAADA YA KUSHOW LUV KWA MWEUSI NIKKI WA II,KATIKA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA KUMTUMIA TWEET YA KUMTAKIA HERI YA SIKU YAKE YA KUZALIWA,MUNGU AWABARIKI WOTE KWA PAMOJA WAENDELEE KUISHI KWA AMANI IKIBIDI KUSHIRIKIANA KWA PAMOJA ILI KUBORESHA KAZI ZAO KWANI WOTE NI WAKALI,HIVYO KWA KUUNGANA KWAO ITASABABISHA KUZALIWA KWA FLAVA KALI NA ZA UKWELI KWA MASHABIKI WAO.

No comments: