KATIKA SAKATA LILILOWASHANGAZA WENGI,BAADA YA MUME WA PILI WA MSANII WASTARA JUMA,ALIYEFIWA NA MUME WAKE MUIGIZAJI MWENZIE JUMA KILOWOKO SAJUKI MIEZI NANE ILIYOPITA,MUME WA PILI WA MSANII HUYO BW,AHMED KUSHI AMBAYE ALIMUOA MSANII HUYO KABLA YA KUOLEWA NA SAJUKI MWAKA 2000,NA KUBAHATIKA KUPATA MTOTO MMOJA WALIYEMPA JINA LA FARES,JAPO NDOA HIYO ILIDUMU KWA MWAKA MMOJA TU,NA ATIMAYE KUVUNJIKA KUTOKANA NA MIGOGORO,CHAKUSHANGAZA KWA WASTARA KWA MUJIBU WA CHANZO CHA HABARI HII,BW,KUSHI AMEKUJA NA MADAI HAYA KIPINDI AMBACHO YEYE KAMA MFIWA AMEKUWA AKICHUKULIA KAMA UNYANYASAJI TU,KWANI KAMA NI KWELI YEYE NI MUMEWE KISHERIA KWANINI ARUHUSU NDOA ILIYOFUNGWA MIAKA KADHAA NYUMA TENA INAYOFAHAMIKA NCHI NZIMA KAMA SI KUUTUMIA WAKATI HUU KUMNYANYASA KWAKUJUA YUKO PEKEE TENA KATIKA MAJONZI,DAI LINGINE LILILOTOLEWA NA BW,KUSHI NI KUMDAI MWANAYE FARES JAMBO AMBALO WASTARA AMEONYESHA KULIKANA VIKALI,AKISISITIZA KUWA ALIPOMUACHA NI KAMA ALIMTELEKEZA HIVYO KWA JAMBO HILO SI VYEMA WALA HEKIMA KUONGEA NAYE YEYE,BALI AENDE KWA WAZAZI WAKE{WASTARA}AMBAO WAMEBEBA JUKUMU LA KUMLEA MJUKUU WAO,HASA KWA KIPINDI HIKI KIGUMU KWAKE,IELEWKE AWALI MSANII WA FILAMU BIBIE WASTARA JUMA ALISHAOLEWA MARA TATU,IKIWA NDOA YAKE YA MWISHO NI KATI YAKE NA MSANII MWENZIE JUMA KILOWOKO SAJUKI ALIYEFARIKI DUNIA,WAKATI NDOA YAKE YA KWANZA ILIFUNGWA MWAKA 1998,NA JAMAA ALIYEJULIKANA KWA JINA LA JUMA MPEMBA,AMBAPO WAWILI HAO KIPINDI HICHO WALIBAHATIKA KUPATA MTOTO MMOJA WA KIUME,WALIYEMPA JINA LA SAMIR AMBAPO NDOA HIYO ILIVUNJIKA PIA,MAREHEMU JUMA KILOWOKO "SAJUKI"MUME WA MWISHO WA WASTARA AMEMWACHA MJANE HUYO NA MTOTO MMOJA AITWAYE "FAHREEN".
PICHA IKIWAONYESHA WASTARA NA BW,AHMED KUSHI MUME WA PILI WA WASTARA SIKU YA NDOA YAO.
No comments:
Post a Comment