Wednesday, 7 August 2013

PICHA ZA ZIARA YA WASHIRIKI WA SHINDANO LA BIBI BOMBA NDANI YA "ENDLESS FAME"YAKE '"WEMA SEPETU"


MISS TZ-2006 NA MUIGIZAJI MAHIRI WA KIKE NCHINI MADAM WEMA SEPETU AKIHOJIWA BABUU WA KITAA{HORST}WA KIPINDI CHA BIBI BOMBA "CLOUDS TV"

BAADA YA SEMINA NZITO YA UIGIZAJI ILIYOTOLEWA NA BIBIE WEMA SEPETU MWENYEWE,MSHIRIKI WA BIBI BOMBA ANAJARIBIWA KWA KUIGIZA KAMA BOSS NA WEMA AKIWA
KAMA MWAJIRIWA WAKE.
BABUU WA KITAA MTANGAZAJI WA KIPINDI CHA BIBI BOMBA,WASHIRIKI WA BIBI BOMBA NA WEMA SEPETU {MWENYE KILEMBA}KWA PAMOJA WAKIWA NDANI YA OFISI ZA ENDLESS FAME.


No comments: