MSANII ANAYEFANYA VYEMA SANA KATIKA TASNIA YA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA NCHINI,AKITAMBA NA HITS KIBAO,NIKKI MBISHI a.k.a ZOHAN ama BABA MALCOM AMECHUKUA UAMUZI WA BUSARA BAADA YA KUJITANGAZA RASMI KUWA YEYE NI MUATHIRIKA WA UGONJWA WA UKIMWI{HIV},NIKKI ALICHUKUA UAMUZI HUO MWISHONI MWA WIKI HII KUPITIA MTANDAO WA TWEETER,JAPO KIINI CHA KUFANYA HIVYO BADO HAKIJAJULIKANA KWANI UAMUZI HUU UMEJENGA HISIA TOFAUTI HASA WAPENZI WA MUZIKI WA BONGO HIPHOP,WAKIDAI KUWA UAMUZI HUU WA NIKKI NIKUTAKA KUPATA MUDA WA KUWA HURU KWANI AMEKUWA AKISUMBULIWA SANA NA WAKINADADA HIVYO INAWEZEKANA AMEAMUA KUFANYA HIVYO ILI KUWAPIGA PINI WOTE WENYE NIA YA KUMTAKA KIMAPENZI.
HII HAPA TWEET YAKE NIKKI MBISHI IKIELEZEA JUU YA UAMUZI WAKE HUO,
HII HAPA TWEET YAKE NIKKI MBISHI IKIELEZEA JUU YA UAMUZI WAKE HUO,
No comments:
Post a Comment