Wednesday, 14 August 2013

UJIO MPYA TOKA KWA SAIGON-RUDIA.{OFFICIAL VIDEO}

HUU NDIYO UJIO MPYA WA RAPPER MKONGWE BONGO "SAIGON"-RUDIA, NGOMA ILIYOPIKWA KWENYE STUDIO ZA B-RECORDS CHINI YA PRODUCER MKALI KWA MIDUNDO YA HIPHOP BONGO,CHIZAN BRAIN,WAKATI KICHUPA CHAKE KIMETAYARISHWA NA KUCHUKULIWA NA ART IN TANZANIA PRODUCTION,CHINI YA DIRECTOR "BENJAMIN BUSUNGU",ANGALIA BAADHI YA SCENE KATIKA CHUPA HILO KISHA UKICHECK KICHUPA CHENYEWE PIA HAPO CHINI.

NB:HIKI HAPA KICHUPA CHENYEWE,



No comments: