MOJA YA MAKUNDI YA KWANZA NA MOJA YA WAASISI WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA NCHINI"THE HARD BLASTERS",KUSHOTO "TERRY-FANANI",PROFFESOR JAY & "BIG WILLY",HILI NDILO KUNDI LILILOMTAMBULISHA PROFFESOR JAY,KWENYE GAME LA MUZIKI WA BONGO,HII NI MOJA YA SINGLE ZAO ZILIZOFANYA VIZURI KIPINDI HICHO-BLAST NUFF,ISIKILIZE & DOWNLOAD HAPO CHINI:-
No comments:
Post a Comment