MSANII MKONGWE WA FILAMU NCHINI VICENT KIGOSI"RAY",AMEAMUA KUTOKELEZEA KISWAGG ZAIDI BAADA YA KUTUPIA TATOO KATIKA SEHEMU KUBWA YA MWILI WAKE,KWA MUONEKANO HUU WA MSANII HUYU,
UMEJENGA MATABAKA BAADA YA BAADHI KUDAI AMEPENDEZA NA TATOO HIZO,WAKATI WENGINE WAMEONYESHA KUTOKUPENDEZWA NA MUONEKANO HUO,WAKIDAI AMEJISHUSHA SANA KWA KUJIBANDIKA MASTIKA MWILINI,KWANI KAMA ALITAKA TATOO'S ANGECHORA NA WALA SI KUJIBANDIKA STIKA,
TAKRIBAN WIKI MOJA SASA MSANII RAY KIGOSI AMEACHIA MOVIE YAKE MPYA ALIYOIPA JINA LA "FANS DEATH" MOVIE ALIYOWASHIRIKISHA "RAMMY GALIS" JAMAA ANAYEKUJA KWA KASI KATIKA ANGA HILI LA BONGO MOVIE,PIA KATIKA MOVIE HII YUPO MBONGO FLEVA "NAJMA DATTAN"-@NAJ,HUYU NI YULE EX GIRLFRIEND WAKE MSANII MR,BLUE.NA HIZI NI BAADHI YA PICHA ZILIZOPIGWA NDANI YA MOVIE HIYO MPYA"THE FANS DEATH".,

No comments:
Post a Comment