Tuesday, 18 February 2014

BRAND NEW VIDEO BY TDX WANGEX Ft LULEY-NJOO KWA MJANJA.{Official Video}

TOKA KWA-TDX WANGEX MWENYEWE:-
 Kwanza nianze kwa Kuwasalimu wadau wangu wote, ni muda mrefu umepita tangu niachie video mpya movement ni nyingi katika kuakikisha Hip Hop Inasonga mbele kwa hali yoyote ile na kwa kuonyesha uzalendo na kukubali Harakati zangu katika Music ni vyema ukajipanga kwa kununua Mixtape yangu inayokuja hivi karibuni na itapatikana kwa bei ambayo kila mtu ataweza kumudu na kuinunua.
Tazama video yangu mpya inayoitwa Njoo kwa Mjanja Hapo chini, ni moja ya truck ambayo itapatikana katika mixtape yangu mpya inayokuja hivi karibuni ya City to City


No comments: