KUMEKUWA NA MANENO MENGI MITANDAONI TOKA SIKU YA JANA ASUBUHI,HII NI KUTOKANA NA UJIO WA SINGO MPYA YA MSANII MKONGWE JUMA KASSIM NATURE,SINGO ALIYOMSHIRIKISHA-MSANII-MKONGWE WA KIKE NCHINI LADY JAY DEE"ANACONDA"-KAMA JANA.
KATIKA SINGO HII KWENYE VERSE YA JUMA NATURE KUMEKUWA NA LINES ZILIZOONYESHA KUMDISS MSANII DIAMOND PLATNUMZ,AMBAPO NATURE AMENUKULIWA KWENYE VERSE HIYO KUMUITA MSANII DIAMOND,"DADA-MONDI"
KATIKA MAHOJIANO ALIYOYAFANYA KWA AJILI YA KUITAMBULISHA SINGO HIYO,"NATURE" AMEKANUSHA KUMUIMBA MSANII "DIAMOND PLATNUMZ",JAPO AMEKIRI KUTAMKA NENO "DADA-MONDI" KWENYE VERSE YAKE,HUKU AKILITOLEA UFAFANUZI JINA "DADA-MONDI" AKIDAI KUWA HUYO "DADA-MONDI" NI MSANII MDOGO ANAYEISHI MTAANI KWAKE,MWENYE TABIA ZA MAJIVUNO,AKIJIONA TAYARI AMESHATOKA KITU AMBACHO NI SAWA NA KUJIDANGANYA,NA HILO NDILO LILILOMVUTA YEYE KUANDIKA LINE HIYO KWENYE VERSE YAKE NDANI YA SINGO HIYO MPYA KWAKE,
MSIKILIZE "NATURE" MWENYEWE HAPA,
NB:-PIA KAMA HUJAPATA NAFASI YA KUISIKILIZA SINGO HIYO,ISIKILIZE HAPO CHINI,
KATIKA SINGO HII KWENYE VERSE YA JUMA NATURE KUMEKUWA NA LINES ZILIZOONYESHA KUMDISS MSANII DIAMOND PLATNUMZ,AMBAPO NATURE AMENUKULIWA KWENYE VERSE HIYO KUMUITA MSANII DIAMOND,"DADA-MONDI"
KATIKA MAHOJIANO ALIYOYAFANYA KWA AJILI YA KUITAMBULISHA SINGO HIYO,"NATURE" AMEKANUSHA KUMUIMBA MSANII "DIAMOND PLATNUMZ",JAPO AMEKIRI KUTAMKA NENO "DADA-MONDI" KWENYE VERSE YAKE,HUKU AKILITOLEA UFAFANUZI JINA "DADA-MONDI" AKIDAI KUWA HUYO "DADA-MONDI" NI MSANII MDOGO ANAYEISHI MTAANI KWAKE,MWENYE TABIA ZA MAJIVUNO,AKIJIONA TAYARI AMESHATOKA KITU AMBACHO NI SAWA NA KUJIDANGANYA,NA HILO NDILO LILILOMVUTA YEYE KUANDIKA LINE HIYO KWENYE VERSE YAKE NDANI YA SINGO HIYO MPYA KWAKE,
MSIKILIZE "NATURE" MWENYEWE HAPA,
No comments:
Post a Comment