Thursday, 20 February 2014

MALARIA YAMLAZA KITANDANI IRENE UWOYA-AGA KHAN HOSPITAL

HALI YA MSANII MAHIRI WA FILAMU BONGO IRENE UWOYA,IMERIPOTIWA KUWA MBAYA,HII NI BAADA YA MLIMBWENDE HUYO TOKA BONGO MOVIE KUBANWA VILIVYO NA UGONJWA WA MALARIA,KWA MUJIBU WA RAFIKI YAKE WA KARIBU,KUFUATIA HALI YA MSANII HUYO KUWA MBAYA,IMEBIDI KULAZWA KWENYE HOSPITAL YA THE AGA KHAN ILIYOKO JIJINI DAR ES SALAAM KWA UANGALIZI WA KARIBU.
IRENE UWOYA KITANDANI AGA KHAN HOSPITAL

No comments: