Thursday, 20 February 2014

D'BANJ,AY,DIAMOND,FEMI KUTI & VICTORIA KIMANI NDANI YA NGOMA MOJA.

DIAMOND & VICTORIA KIMANI{KENYAN}
ORGANIZATION YA ONE CAMPAIGN CHINI YA MRADI WAKE WA GO AFRICA,UMEWAKUTANISHA ZAIDI YA WASANII 20{AFRICA}WAKIFANYA WIMBO WA PAMOJA AMBAO UTAPATIKANA KWENYE {AUDIO & VIDEO}WASANII WATAKAOKUWEMO KWENYE SINGO HIYO NI PAMOJA NA D'BANJ & FEMI KUTI{NIGERIA},DIAMOND PLATNUMZ & AY{TANZANIA},VICTORIA KIMANI{KENYA}NK,
VIDEO YA SINGO HIYO TAYARI IMESHAKAMILIKA,IKIWA IMESHOOTIWA JIJINI JOHANESBURG{SA}KWENYE STUDIO ZA M1 ZINAZOMILIKIWA NA SHIRIKA LA SABC.
HIZI NI BAADHI YA PICHA ZILIZOPIGWA WAKATI WA UCHUKUAJI VIDEO HIYO JIJINI JOHANESBURG,

NDANI YA STUDIO ZA M1 WAKATI WA KUSHOOT VIDEO.

WASANII WOTE WAKIWA KWENYE SHOOTING

VICTORIA KIMANI{KENYAN}

DIAMOND & D'BANJ

DIAMOND & AY

DIAMOND & D'BANJ


No comments: