KATIKA SHOW YA MSANII OMMY DIMPOZ JIJINI LONDON KWA AJILI YA SIKU YA WAPENDANAO,SHOW ILIYO HORSTIWA NA MWANADADA SALAMA JABIR,MWANADADA MWENYE KIPAJI CHA PEKEE KWENYE UTANGAZAJI,ZAIDI YA VITU VINGI VILIVYOWAFURAHISHA WENGI WALIOHUDHURIA SHOW HIYO TOKA KWA SALAMA.J. ,NI PALE SALAMA JABIR NA OMMY DIMPOZ WALIVYOKUWA WAKIWAONYESHA MASHABIKI WALIOHUDHURIA SHOW HIYO JINSI YA KUICHEZA MITINDO MIPYA INAYOTAWALA ANGA LA MUZIKI BONGO HIVI SASA,KWA KUZICHEZESHA NYONGA ZAO,
IANGALIE VIDEO HAPO CHINI,
IANGALIE VIDEO HAPO CHINI,
No comments:
Post a Comment