Msanii kutoka kundi La Weusi-{Arusha} ‘LORD EYEZ’ amekumbwa na Tuhuma nyingine ya wizi wa Laptop aina ya ‘Dell’ ikiwa ndani ya gari.
Utafiti huo ulimbaini msanii huyo akiwa na wenzake waliovunja kioo cha gari katika Hoteli ya SHIVA ya jijini Arusha na kuiba Laptop hiyo aina ya Dell, baada ya wahusika kutoa taarifa kituo cha polisi na uchunguzi ulianza siku ya ijumaa.
Mtego huo ulipo kamilika na kugundulika ndipo Lord Eyez ndiye muhusika akakamatwa na Polisi usiku wa Jumamosi kuamkia Jumapili, hadi sasa msanii huyo bado yupo rumande akiisaidia polisi.
Awali mwaka jana Msanii Lord Eyes alishtakiwa tena kwenye mahakama ya wilaya{Kinondoni}jijini Dar es salaam kwa tuhuma za wizi pia, huku wakati huo ikiwa ameshtakiwa na Jamhuri kwa kumuibia msanii mwenzie Faraji Nyembo a.k.a Ommy Dimpoz,{Power Window} ambapo Lord Eyes na wenzie walidaiwa kuingoa {Power Window}hiyo kwenye gari la Ommy Dimpoz
Kufuatia kushtakiwa msanii Lord Eyes kwa tuhuma hizi za wizi wa Laptop,Uongozi wa Kundi zima la WEUSI,wametangaza kumsimamisha shughuli zote za kundi la WEUSI,huku wakitangaza kupitia msemaji wa kundi NIKKI WA II kuwa kuanzia sasa kundi la WEUSI halitajihusisha na shughuli zozote zinazomhusu LORD EYES huku wakifafanua kuwa shughuli zote zinazohusiana na kundi la WEUSI hazitahusiana tena na msanii LORD EYES,hivyo kutanabaisha kuwa shughuli zozote hazitatambuliwa na kundi endapo zitapitia kwa msanii LORD EYES.
Msikilize NIKKI WA II akifunguka kwa kina kuhusiana na hilo,

No comments:
Post a Comment