KLABU BINGWA{SOKA}NCHINI{TZ} DA YOUNG AFRICANS{TZ}LEO IMEIBUKA MSHINDI KATIKA MECHI YAKE YA RAUNDI YA KWANZA KWENYE LIGI YA MABINGWA{AFRICA}DHIDI YA AL AHLY,MECHI ILIYOCHEZWA KWENYE UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM{TZ},KATIKA MECHI HIYO YANGA IMEIBUKA NA USHINDI WA BAO MOJA KWA SIFURI GOLI LILILOPACHIKWA KIMIANI NA NADIR HAROUB "CANAVARO"KWENYE DAKIKA YA 82 YA MCHEZO,
HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA YALIYOJIRI UWANJANI TAIFA LEO KWENYE MECHI HIYO KATI YA YANGA Vs AL AHLY,
HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA YALIYOJIRI UWANJANI TAIFA LEO KWENYE MECHI HIYO KATI YA YANGA Vs AL AHLY,
No comments:
Post a Comment