Tuesday, 4 March 2014

TAHARIFA MAALUM KWA WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM.

Kuanzia KESHO Jumatano 5-3-2014 Usafiri wa Bodaboda (Pikipiki & Bajaji) na Maguta ni Marufuku kabisa Kufika katikati ya jiji la Dar es salaam... Kwa maana ya kwamba usafiri huu hautoruhusiwa kabisa kuingia maeneo ya Kariakoo, Stesheni hadi Posta... Hii ni kwa njia zinazotokea Uwanja wa Ndege, Buguruni, Barabara ya Kilwa, Ally Hassan Mwinyi, Barabara ya United Nations na Barabara ya Morogoro.

No comments: