Tuesday, 11 March 2014

NI KWELI DRAKE NA RIHANNA WAMEAMUA KUWA SIRIASI NA UHUSIANO WAO KIMAPENZI?

Ni Swali linaloulizwa na wengi duniani kwa hivi sasa,hii ni kutokana na mishemishe za hapa na pale za wasanii wawili wakubwa duniani DRAKE{Dreezy} na mwanadada RIHANNA{Riri}ambao awali ilidaiwa wawili hao waliwahi kutoka kimapenzi,kipindi uhusiano kati ya RIHANNA na EX BOY wake CHRIS BROWN ulipovurugika na kufanya DRAKE kupata mwanya wa kujiweka kwa mlimbwende huyo matata kwenye muziki wa POP & RnB duniani,
Taarifa zinadai wawili hawa{Dreezy & Riri}juzi walionekana kwenye Restaurant moja maarufu jijini Amsterdam-Holand kabla ya kukwea pipa wakiwa pamoja wakielekea Ujerumani.
kweli hii ni kaka na dada ama nini,tunaamini muda si mrefu ukweli utadhihirika.
SOURCE:-MTV BASE.

No comments: