Tuesday, 11 March 2014

PICHA ZA NICKI MINAJ NA MCHUMBA WAKE SCAFF BEEZY WAKISHEREHEKEA MIAKA 10 YA MAHUSIANO YAO.

Msanii na Rapper maarufu wa kike nchini Marekani NICKI MINAJ anayeiwakilisha Lebo ya YMCMB na mchumba wake SCAFF BEEZY wamesherehekea miaka 10 ya mapenzi yao,wakiwa mapumzikoni kwenye fukwe za CABO SAN LUCAS nchini MEXICO mwishoni mwa wiki hii,kama kawaida ya NICKI MINAJ ameachia baadhi ya picha Mtandaoni Instagram zinazomuonyesha akiwa na mpenzi wake huyo wakila bata Kwenye ziara yao hiyo nchini MEXICO








No comments: