Thursday, 27 March 2014

VIDEO YA HARUSI YA MSANII PAUL OKOYE{P SQUARE}

Jumamosi iliyopita (March 22) pacha wa kundi la muziki P-Square, Paul Okoye na mpenzi wake wa muda mrefu Anita Isama walifanya harusi ya kimila huko Port Harcourt,Harusi iliyohudhuriwa na mastar wengi wa Nigeria.

Tazama kipande kidogo cha video ya harusi hiyo ambayo pia ilirushwa live na kituo cha Hip Tv cha Naija.

No comments: