| Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa kuamkia Jana alitunuku nishani na Tuzo kwa viongozi mbalimbali wa kitaifa na watumishi wa umma wapatao 86 waliotoa mchango wao katika kuulinda na kuudumisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliodumu kwa miaka Hamsini 50 sasa.Fuatilia baadhi ya Picha za tukio hilo, |
![]() |
| Mama Maria Nyerere akipokea
nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano(Order) kwa niaba ya
Marehemu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere. |
![]() |
| Mama Fatma Karume akipokea Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano(Order) kwa niaba ya Marehemu Abeid Aman Karume Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa kwanza wa Baraza la Mapinduzi. |
![]() |





No comments:
Post a Comment