![]() |
| Msanii wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar. |
Aunty alisema hayo juzi Jumatatu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam mbele ya hakimu Agustina Mbando, akikanusha taarifa ya wadhamini wa Ivon, Christopher Mwaseba na Anthon Mwaseba walioiambia mahakama kuwa mtuhumiwa alikuwa nyumbani akimuuguza mama yake.
![]() |
| Ivon Bigilwa aliyemchana Aunt kwa chupa. |
Kutokana na hilo, Hakimu Mbando aliwaonya wadhamini hao kwa kuidanganya mahakama na kuwataka wampeleke mtuhumiwa huyo mbele ya mahakama hiyo Juni 10, mwaka huu.



No comments:
Post a Comment