![]() |
| Marehemu Recho Haule. |
Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Muvi, Steve ‘Nyerere’, mwili wa Rachel utasafirishwa kwenda kwao Songea kwa ajili ya maziko. Habari nyingine za msiba zitatolewa wakati wowote na mtandao huu mara tu zinapopatikana.
| Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Bw,Steve Nyerere na Msanii Juma Chikoka wakilia kwa uchungu. |
| Huzuni tele ikiwa imetawala wasanii waliokuwa viwanja ya Leaders. |
| Bi. Mwenda akilia kwa uchungu. |
| Mume wa Rachel aitwaye Saguda akiwa na majonzi. |
| Mwigizaji Johari akiwa na huzuni. |
| Cathy Rupia akiomboleza. |
| Steve akizungumza na wanachama wa Bongo Muvi, viwanja vya Leaders. |
| Wasanii wakipanga utaratibu wa msiba wa mwenzao. |
| Wasanii wa Bongo Muvi wakiwa Muhimbili baada ya kupata habari za kifo cha mwenzao. |

No comments:
Post a Comment