Mwili
wa muigizaji wa filamu nchini Rachel Haule umeagwa leo hii katika
viwanja vya Leaders na baada ya hapo kuzikwa katika makaburi ya
Kinondoni. Wasanii wengi ndugu, jamaa na marafiki wamejawa katika
simanzi kubwa huku muigizaji Irene Uwoya akizimia pengine kwa mshituko wa
kuondokewa na msanii mwenzake. Angalia picha zikionyesha matukio ya kuuaga mwili
wa Marehemu Rachel
Leaders Club jijini Dar es salaam..........
NB:-HII HAPA VIDEO IKIONYESHA TUKIO HILO LA KUANGUKA MUIGIZAJI IRENE UWOYA LEO VIWANJA VYA LEADER'S CLUB-KINONDONI.
Irene Uwoya akiwa amezimia






No comments:
Post a Comment