Thursday, 8 May 2014

KEISHA AJIFUNGUA SALAMA MTOTO WA KIUME

Msanii mahiri katika muziki wa Bongo flava anayefahamika kwa jina la  Khadija Shaban a,k,a Keisha aliyewahi kutmba na ngoma zake kibao kama Uvumilivu,Nimechoka n.k amejifungua salama mtoto wa kiume katika hospitali ya Mount Mkombozi Kinondoni, jijini Dar es salaa.
Hadi sasa msanii Keisha ataukuwa na watoto wawili katika Ndoa yake,akizungumza akiwa hospitalini hapo keisha amefunguka kama ifuatavyo“Nimejifungua mtoto mwingine wa kiume katika hospitali ya Mount Mkombozi, namshukuru Mungu nimejifungua salama na mtoto anaendelea vizuri.”Keisha
Picha msanii Keisha akiwa na Kachanga kake kitandani.

Mtoto wa Msanii Keisha.

No comments: