Saturday, 17 May 2014

KILICHOSABABISHA KIFO CHA MAREHEMU ADAM KUAMBIANA.

Taarifa kamili juu ya kifo cha gwiji la sanaa na Director mkongwe wa filamu nchini marehemu Adamu Philip kuambiana, ni kwamba kifo hicho Kimetokea wakati marehemu akiwa njiani kupelekwa katika hosptali ya mama ngoma iliyopo mwenge jijini daresalam kutokea katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remmy alipokuwa ameweka kambi ya maandalizi ya filamu yake mpya  ambapo marehemu alidondoka chooni mara baada ya kuzidiwa kwa kile kilichoelezwa kuwa ni maradhi ya tumbo .
 Awali marehemu alikuwa akisumbuliwa na vidonda vya tumbo na sukari{Diabetis}maradhi ambayo yalikuwa yakimfanya wakati mwingine kusimama kazi kutokana na maumivu makali.
 kwasasa mwili wa marehemu umehamishiwa mochwari{Muhimbili Medical Hosp} kwaajili ya kuuhifadhiwa,

Mwili wa marehemu ukipelekwa Mochwari Muhimbili kwa ajili ya kuhifadhiwa.






     Mungu ailaze roho ya marehemu mala pema pepon Amin.

No comments: