Saturday, 17 May 2014

JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA AFIWA NA MAMA MKWE WAKE.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha kumbukumbu alipokwenda kuhani msiba wa mama mkwe wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba,Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,  Oysterbay jijini Dar es salaam jana Mei 17, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe
 wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba,Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,   Oysterbay jijini Dar es salaam jana Mei 17, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifariji wanafamilia bada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,  Oysterbay jijini Dar es salaam jana Mei 17, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na Jaji Joseph Warioba na mkewe 
Mama Evelyne Warioba walipokwenda kuhani na kutoa heshima za mwisho katika msiba wa mama mkwe wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,   Oysterbay jijini Dar es salaam jana Mei 17, 2014
Mh,Rais ,Jaji Warioba,mama salma kikwete na mke wa jaji warioba mama Evelyn Warioba msibani jana.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Mke wa Jaji Warioba, Mama Evelyne Warioba  alipokwenda kuhani msiba wa mama yake mzazi Marehemu Hedwig Laurent Ojjik  Oysterbay jijini Dar es salaam jana Mei 17, 2014

No comments: