Hizi ni taarifa nyingine za ghafla ambazo Tanzania tumezipokea kwa
mshtuko na masikitiko ya hali ya juu,si kingine bali ni kifo cha miongoni mwa-madirector wa Tanzania
ambao pia ni waigizaji,huyu ni Adam Kuambiana ambaye taarifa za kifo
chake zimeanza kusambaa tokea mchana wa leo Mei 17.
Mwenyekiti wa Bongo Movie Steve Nyerere amesema>>’Mwenzetu Adam
Philipo Kuambiana amefariki akiwa Location ana shoot,mimi nimepigiwa
simu saa 3 asubuhi kuwa hospitali pale Mwenge niende nikahakikishe kuwa
ni kweli Adam amefariki na kweli kufika pale nikamkuta Adam Kuambiana
amefariki’
‘Sasa hivi tumetoka Muhumbili kwenda kumsitiri mwenzetu,taarifa inasema wakati yupo location alikua analalamika tumbo linamuuma linamuuma kumfikisha hospitali ndipo umauti ukamfika’.
Kwa mujibu wa Steve Nyerere amesema kuwa marehemu Adam kuambiana alikua ana shoot filamu yake mpya ambayo ndani yake amewashirikisha wasanii kadhaa wa Bongo fleva akiwemo Q Chillah,taratibu za mazishi na msiba kwa ujumla endelea kufatilia ngessa blogspot tutakufahamisha kila kinachoendelea.
Bonyeza play hapo chini kumsikiliza Steve Nyerere akielezea msiba huu.
![]() |
Marehemu Adam Kuambiana akiwa location enzi za uhai wake. |
‘Sasa hivi tumetoka Muhumbili kwenda kumsitiri mwenzetu,taarifa inasema wakati yupo location alikua analalamika tumbo linamuuma linamuuma kumfikisha hospitali ndipo umauti ukamfika’.
Kwa mujibu wa Steve Nyerere amesema kuwa marehemu Adam kuambiana alikua ana shoot filamu yake mpya ambayo ndani yake amewashirikisha wasanii kadhaa wa Bongo fleva akiwemo Q Chillah,taratibu za mazishi na msiba kwa ujumla endelea kufatilia ngessa blogspot tutakufahamisha kila kinachoendelea.
Bonyeza play hapo chini kumsikiliza Steve Nyerere akielezea msiba huu.
No comments:
Post a Comment