Saturday, 17 May 2014

MAZISHI YA MTOTO WA MKURUGENZI WA MAWASILIANO OFISI YA RAIS Bw,SALVA RWEYEMAMU.

Mkurugenzi wa Mawasiliano Ofisi ya Rais Bw. Salva Rweyemamu na mkewe Isabella wakiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu mtoto wao Private Brian Salva Rweyemamu katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam jana Mei 17, 2014

Dada wa Marehemu Private Brian Salva Rweyemamu wakiweka shada la maua wakati wa mazishi katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam jana Mei 17, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Private Brian Salva Rweyemamu wakati wa mazishi  katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam jana Mei 17, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Private Brian Salva Rweyemamu wakati wa mazishi  katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam jana Mei 17, 2014

No comments: