Tuesday, 20 May 2014

MUONEKANO WA LEO NDANI YA LEADER'S CLUB,UNAPOAGWA MWILI WA MAREHEMU ADAM PHILIP KUAMBIANA.

Eneo hili ndipo mwili wa marehemu Adam Kuambiana utakapoagwa leo asubuhi kabla ya kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Mwili wa marehemu Adam Kuambiana utawekwa mahali hapa.


Waombolezaji watakaa mahali hapa.


No comments: