| Msanii na Muongozaji wa
filamu na maigizo nchini{TZ} kutoka kwenye kambi ya Bongo Muvi, aliyejizolea
umaarufu miaka ya hivi karibuni, Adam Kuambiana anatarajia kuzikwa leo
Mei 20, 2014 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
alipozikwa msanii mwenzake, Steven Kanumba.hizi ni baadhi ya Picha za yaliyojiri kwenye zoezi la kuuaga mwili wa marehemu,mchana wa leo,kwenye viwanja vya Leader's Club Kinondoni jijini Dar es salaam. |
No comments:
Post a Comment