Thursday, 1 May 2014

PICHA ZA SURPRISE YA BIRTHDAY ALIYOFANYIWA Mh,J.D.MBILINYI{MBUNGE} NA MZAZI MWENZIE.

Leo ilikuwa ni siku ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwa Mh,Mbunge-Mbeya Mjini{Chadema}JOSEPH.D.MBILINYI {miaka kapuni},fuatilia picha za surprise ya aina yake aliyofanyiwa Mh,J.D.MBILINYI almaarufu SUGU na mzazi mwenzie FAIZA ALLY katika kumbukumbu hii muhimu maishani mwao,
Mh,SUGU mbele ya surprise ya KEKI kuuubwa ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwake.
Mh,J.D.MBILINYI akisaidiwa kukata KEKI na Mzazi mwenzie FAIZA ALLY.
Mh,J.M.MBILINYI a.k.a SUGU akiongea kitu na mtoto wake SASHA.

No comments: