MUIGIZAJI na Muongozaji filamu maarufu Bongo,Marehemu Adam Kuambiana
amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge
jijini Dar es Salaam kwa matibabu alfajiri ya kuamkia Jumamosi. Marehemu
alianguka chooni akiwa location katika Gesti ya Silver
Rado iliyopo Sinza kwa Remmy, Dar es salaam. Kabla ya umauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbo.huku taarifa kutoka kwa watu waliompa huduma ya kumkimbiza hospitali walidai alikuwa akiharisha damu.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!

No comments:
Post a Comment